Tenzi za Rohoni mpya 161

Nyimbo za Tenzi za Rohoni toleo jipya lenye tenzi 161 na nyimbo za dini.
Londo Apps
Baixar Tenzi za Rohoni mpya 161 APK
Avaliação 4
Categoria Livros E Referências
Nome do pacote tz.co.hymns.tenzizarohoni
Downloads 5+
Descrição do Tenzi za Rohoni mpya 161
App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

Tenzi za Rohoni app ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.

Imba kufuata ala za nyimbo ambazo unaweza kusikiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3:16

CARACTERÍSTICAS
★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (off-line)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Mostrar
Baixar Android APK
Atualmente, o download do Tenzi za Rohoni mpya 161 APK não está disponível. Por favor, prossiga para baixar da Google Play Store.
Google Play
Obter da Play Store
1. Clique em "Obter da Play Store"
2. Baixe o Tenzi za Rohoni mpya 161 da Play Store
3. Inicie e aproveite o Tenzi za Rohoni mpya 161
FAQ do Tenzi za Rohoni mpya 161 APK

O Tenzi za Rohoni mpya 161 é seguro para o meu dispositivo?

Mostrar

O que é um arquivo XAPK e o que devo fazer se o Tenzi za Rohoni mpya 161 que baixei for um arquivo XAPK?

Mostrar

Posso jogar Tenzi za Rohoni mpya 161 no meu computador?

Mostrar

Recomendação