Habari Mpya

Habari Mpya: Habari na Matukio ya Siasa, Michezo na Burudani
razark
Baixar Habari Mpya APK
Versão 1.0
Atualizado em 2024-05-10
Avaliação 4
Categoria Entretenimento
Nome do pacote com.tanzaniarevo.app
Downloads 5+
Descrição do Habari Mpya
Habari Mpya ni App bora kabisa kwa wapenzi wa habari hapa Tanzânia! Tunakuletea habari za hivi punde na za kuaminika kutoka vyanzo vya kuaminika zaidi. Tunakusanya habari za aina mbalimbali kama vile siasa, michezo (Soka), biashara, burudani, afya, teknolojia, Magazeti, Bungeni, Ajira na zaidi. Tunakusanya habari kutoka kwenye tovuti zaidi ya 30 maarufu, zikijumuisha:

Mwananchi, BBC Swahili, Habari Leo, The Citizen, ITV Tanzania, Clouds Media Group, Tanzania Tech, Habari Mpya, Millard Ayo, Michuzi Blog, Nipashe, Jamii Forums, HiviSasa, Mpekuzi, Global Publishers, Tanzanian News, Udaku Special, Kwanza Jamii , Dizzim Online, Dar24, Full Shangwe, Habarileo, Jambo Leo, Spoti na Starehe, Habari Mix, Bin Zubeiry Sports, DJChoka, Tanzania News Online, Bongo Movies, Wasafi Media, Saleh Jembe,
Muungwana, Malunde na Mzalendo.

Kwa kutumia Habari Mpya, utakuwa na ufikiaji wa haraka na rahisi kwa habari za kisasa zinazokujia kutoka vyanzo vya kuaminika. App hii ni ya kipekee kwa sababu inakupa habari zote unazozihitaji mahali pamoja, bila
kulazimika kutafuta kwenye tovuti tofauti.

Faida za kutumia Habari Mpya ni pamoja na:
Ufikiaji rahisi na haraka wa habari za hivi punde kutoka vyanzo mbalimbali.
Habari za uhakika na za kuaminika zinazowasilishwa moja kwa moja kwenye simu yako.
Muundo wa kirafiki na rahisi kutumia, huku ukitoa uzoefu bora wa mtumiaji.

Kwa mashabiki wa soka, Habari Mpya inakuletea habari za kusisimua kuhusu vilabu vya soka vya Tanzânia kama vil Simba SC, Yanga SC, Azam FC, Kagera Sugar, Mbeya City FC, na vilabu vingine vya ligi kuu ya Tanzânia
(NBC Premier League). Pamoja na habari za vilabu vya ndani, utapata taarifa za kimataifa kuhusu vilabu maarufu vya soka duniani.

Kwa kuwa na Habari Mpya kwenye simu yako, hutakosa tena habari muhimu au za kusisimua kutoka kila kona ya Tanzânia. Pakua sasa ou uanze kufurahia habari za kipekee na za kuvutia, kila wakati na mahali popote!

Mostrar
Baixar Android APK
Atualmente, o download do Habari Mpya APK não está disponível. Por favor, prossiga para baixar da Google Play Store.
Google Play
Obter da Play Store
1. Clique em "Obter da Play Store"
2. Baixe o Habari Mpya da Play Store
3. Inicie e aproveite o Habari Mpya
FAQ do Habari Mpya APK

O Habari Mpya é seguro para o meu dispositivo?

Mostrar

O que é um arquivo XAPK e o que devo fazer se o Habari Mpya que baixei for um arquivo XAPK?

Mostrar

Posso jogar Habari Mpya no meu computador?

Mostrar

Recomendação